Annonse: Barneklær for et knall pris, klikk her

Friday, July 8, 2011

Habari za asubuhi

Leo sikulala vizuri. Nilitembelewa na  rafuiki yangu Sheryl Saso. alilala kwenye sofa. Tumeongea muda mreu. Baadaye nikajaribu kulala, lakini sikupata usingizi. Sasa hivi natoka naelekea kwenye mihanjo.

Baadaye nafikiri nitafanya mazoezi. Na jioni nafikiri nitatoka out pamoja na marafiki:)

Mungu awabariki.

No comments:

Post a Comment

Do you like it? Like or share on facebook

>
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...