Annonse: Barneklær for et knall pris, klikk her

Wednesday, July 6, 2011

Kuhusu mimi

Jina langu naitwa Joyce, ninatokea Tanzania, Lakini kwa sasa hivi naishi Norway.Naishi na kaboy changu Philip, kwenye appartment yetu hapo Drammen. Maisha huku ni powa, ila ni baridi sana kipindi cha winter. Sasa hivi ni sommertime, kwa hiyo tunaenoy kijijua, na long day... Fuatana nami kwenye hii blogg niweze kukuoa michapo ya huku he he he . Na kama una swali au komment , usisite kuniachia hapo chini.

No comments:

Post a Comment

Do you like it? Like or share on facebook

>
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...